Wednesday 5 June 2013

(NEWS) MMG YAANZA KUTENGENEZA SELF MADE VOL 3

   Baada ya kuachia project ya mwisho iliyokwenda kwa jina la Self made vol 2 sasa Maybach Music Group waanza kutengeneza project mpya iliyopewa jina la Self made vol 3.
  Akizungumzia hilo boss wa MMG Rick Ross alisema lengo ni kufanya kitu cha pamoja ili kuwapatia mashabiki wao ladha ambayo wataifurahi. Rozay alisema wanategemea project hiyo kuingia sokoni August 6th, tayari nyimbo moja ishamalizika na jana imeshaanza kuskika inayokwenda kwa jina la God is Great ya Rockie Fresh. Baadhi ya wasanii waliopo MMG ni Rick Ross, Wale, Meek Mill, Omarion, Rockie Fresh na Gunplay.

No comments:

Post a Comment