Wednesday 5 June 2013

(NEWS) MIGUEL AKUMBWA NA MSALA

     Hitmaker wa Adorn anaejulikana kama Miguel ameingia katika matatizo baada ya mhanga wa tukio lililotokea lilotokea katika tuzo za Billboard kusemekana kwamba anauwezekano wa kupata matatizo ya ubongo.
   Miguel ambaye ali perfom siku hiyo aliruka kutoka juu ya jukwaa na kuwarukia mashabiki na katika kuruka huko alijikuta akimuangukia vibaya shabiki huyo na kumsababishia matatizo hayo. Inasemekana kuwa Miguel alishaonywa kuhusu swala la kuruka kutoka jukwaani lakini mzuka ulipompanda akajikuta anasahau kama alishakatazwa kuruka

No comments:

Post a Comment