Wednesday 5 June 2013

(NEWS) THE-DREAM NDIE MWANDISHI WA TRACK MPYA YA KELLY ROWLAND

   The-Dream amefunguka na kusema yeye ndio mwandishi wa track mpya ya Kelly Rowland inayokwenda kwa jina la "Dirty Laundry" ambayo ipo katika album mpya ya mwanadada huyo inayoitwa "Talk A Good Game"
  The-Dream ambae pia amehusika  katika kuwaandikia mashairi mastaa wakubwa wakiwemo Beyonce na Rihanna, alifunguka pia kuhusiana na mahusiano ya Kelly Rowland na Beyonce na kusema kuwa watu hao wawili wametoka mbali na anapendezwa kuona bado wanaheshimiana na kupendana.
  The-Dream na Kelly wanajiandaa kwa ajili ya kupiga tour ya pamoja ambayo itahusisha nchi za Ulaya.

No comments:

Post a Comment