Sunday 19 April 2015

(NEWS) JEREMIAH KUSHTAKIWA

Muimbaji wa muziki wa R&B anyetokea pande za Chicago,Marekani Jeremiah yeye pamoja na label yake ya Def Jam wamefunguliwa kesi kwa kosa la kutumia ya picha ya model Louise Ram kama cover ya nyimbo ya Jerimiah inayokwenda kwa jina la Don't tell em iliotoka mwaka jana. Model huyo pamoja na mpiga picha wake Alexander wamesema hawakupewa taarifa kama picha hio itatumika kama cover ya nyimbo hio.