Mwanamuziki na mfanyabiashara maarufu Jay Z anakaribi kusaini dili na kampuni ya simu za mkononi ya Samsung hii ni baada ya kuondoka katika umiliki NBA ambao kazi yake ulikua ni kukuza na kuendeleza faida katika michezo.
Jigga anategemea kusaini mkataba ambao utamuingizia zaidi ya $20m na kampuni hio ya Samsung lengo kubwa likwa kuendelea nakuingia katika aina mpya ya muziki "streaming" ili kukuza mziki. Pia Jay z atatumia nafasi hiyo kwajili ya kuwa sainisha wasanii wengi zaidi.
No comments:
Post a Comment