Friday 30 May 2014

ALBUM YA 50 CENT KUINGIA SOKONI JUNE 3

Baada ya kufanya album nne na kampuni ya interscope mkali 50cent anaachia album yake mpya nje ya kampuni hiyo. 50cent anaachia album hiyo akiwa kama msanii wa kujitegemea, album itakwenda kwa jina la "Animal ambition" ina jumla ya ngoma 11 akiwa amefanya na wasanii mbalimbali kama Yo Gotti,Trey songz,Kid Kid,Styles P,Prodigy. Album inatarajiwa kuwa sokoni kuanzia tarehe 3 June mwaka huu.

No comments:

Post a Comment