Mac Miller ameweza kuongea kwa upande wake akisema yeye anaamini kuwa Kanye West ndiye atakae ibuka kidedea kwenye battle hiyo na kusema muziki wa Kanye ni mkubwa na kwamba si wa kupambana na bwana mdogo J Cole. Ikumbukwe kuwa J Cole amekuwa akihairisha utoaji wa album mara kibao aliamua kuirudisha nyuma kutoka tarehe 25 June mpaka 18 June ili kupambana na Kanye West.
Album ya J.Cole inakwenda kwa jina la Born sinner ambayo inatolewa chini ya Bad Boys Rec na ya Kanye West inakwenda kwa jina la Yeezus ambayo inatolewa na G.O.O.D Music zote zinategemewa kutoka tarehe 18 June mwaka huu.
No comments:
Post a Comment