Thursday 6 June 2013

(NEWS) EMINEM AONEKANA STUDIO AKIWA NA BLACK HIPPY

   Baada ya kuonekana mwezi uliopita akiwa studio na mchekeshaji maarufu Chris Rock na Big Sean leo mkali huyu wa miondoko ya hip hop ameonekana akiwa studio na crew ya Black Hippy.
   Wakati wakiwa katika tour ya good kid m.A.A.d city pande za Detroit Black Hippy walipata nafasi ya kuwa pamoja studio na mkali huyu ambaye anajitayarisha kuachia album yake mpya na inasemekana crew hiyo itapiga collabo na mkali Eminem.


No comments:

Post a Comment